Tuesday, December 9, 2014

ZIFAHAMU KATA ZA WILAYA YA KWIMBA

Wilaya ya Kwimba ni moja kati ya wilaya saba zinazounda mkoa wa Mwanza.Upande wa magharibi imepakana na wilaya ya Misungwi, wilaya ya Magu kwa upande wa kusini.Kwenye sensa iliyofanyika mwaka 2002 ilikuwa na wakazi wapatao 316,180(takwimu za 2012 sikubahatika kuzipata). Makao makuu ya wilaya yapo Ngudu

Wilaya ya kwimba ina jumla ya kata 25, na vijiji 111, kama ifuatavyo;



  1. Bungulwa
  2. Bupamwa
  3. Fukalo
  4. Hungumalwa
  5. Igongwa
  6. Iseni
  7. Kikubuji
  8. Lyoma
  9. Maligisu
  10. Malya
  11. Mantare
  12. Mhande
  13. Mwabomba
  14. Mwagi
  15. Mwakilyambiti
  16. Mwamala
  17. Mwandu
  18. Mwang'halanga
  19. Ng'hundi
  20. Ngudu
  21. Ngula
  22. Nyambiti
  23. Nyamilama
  24. Sumve
  25. Wala 
Kwa takwimu za mwaka 2002 zinaonesha pia mifugo iliyokuwa inapatikana katika wilaya ya kwimba kama ifuatavyo
  • Ng'ombe - 366,210
  • Mbuzi - 102,048
  • Kondoo - 77,333
  • Punda - 4,416
 Mwandishi: Nguduone

1 comment:

  1. sasa mbona hambadilishi maana kata siku hizi zimeongezeka sio hizo 25 kama mlivyoandika

    ReplyDelete

Previous Page Next Page Home