Kwa mujibu wa takwimu
zilivyo kwenye tovuti ya ofisi ya waziri mkuu, wilaya ya kwimba ina kata,
vijiji na vitongoji kama ifutavyo
1. NYAMBITI
-vijiji
(Nyambiti, kinoja, solwe, ibindo, mwankuba)
-Na
vitongoji 33 jumla
2. MWANDU
-Vijiji
(Goloma, Isabilo, Mwandu, Shushi)
Vitongoji
jumla 30
3.
MALYA
-Vijiji
(Malya, Mwahembo, Talaga, Mwitambu,Kitunga)
-Vitongoji
jumla 31
4.
MWAGI
-Vijiji
(Ligembe, Kishili, Mwamajila, Mwabilanda)
-Vitongoji
jumla 26
5.
NKALALO
-Vijiji
(Nkalalo, Manawa, Mwaging’hi,)
-Vitongoji
jumla 16
6.
MALIGISU
-Vijiji
(Maligisu, Kadashi, Mwabaratulu, Mwabuchuma)
-Vitongoji
jumla 38
7.
ISENI
-Vijiji
(Bugadago, Ng’wasweng’hele, Nyashana)
-Vitongoji
jumla 20
8.
BUGANDO
-Vijiji
(Nyamigamba, Icheja, Bugando)
-Vitongoji
jumla 16
9.
LYOMA
-Vijiji
(Busule, Lyoma, Nkungulu, Kinamweli, Kimiza)
Vitongoji
jumla 32
10.
SUMVE
-Vijiji
(Sumve, Nyamikoma, Bumyengela, Mwashilalage)
-Vitongoji
jumla 27
11.
MWABOMBA
-Vijiji
(Mwabomba, Chamva, Mwagika,Ngogo, Mhulula )
-Vitongoji
jumla 25
12.
NGULLA
-Vijiji
(Ngulla, Nyamatala, Nyambuyi, Mhulya)
-Vitongoji
jumla 25
13.
MANTARE
-Vijiji
(Ishingisha, Mantare, Mwampulu, Mwanekeyi)
-Vitongoji
jumla 25
14. WALLA
-Vijiji
(Bujingwa, Isagala, Sumaha, Shilanona)
-Vitongoji
jumla 26
15.
BUNGULWA
-Vijiji
(Ng’hundya, Isunga, Bungulwa)
-Vitongoji
jumla 26
16.
MWANG’HALANGA
-Vijiji
(Mahiga, Mwabagole, Shigumhulo, Mwang’halanga)
-Vitongoji
jumla 27
17.
IGONGWA
-Vijiji
(Manguluma, Mwadubi, Malemve)
-Vitongoji
jumla 30
18.
FUKALO
-Vijiji
(Sanga, Kawekamo, Ndamhi, Chibuji, Nyang’honge, )
-Vitongoji
jumla 42
19.
BUPAMWA
-Vijiji
(Chasalawi, Mhalo, Bupamwa. Kiliwi, Dodoma)
-Vitongoji
jumla 49
20.
MWAMALA
-Vijiji
(Milyungu, Igumangobo, Kijida, Mwalujo)
-Vitongoji
jumla 28
21. SHILEMBO
-Vijiji
(Shigangama, Ng’huliku, Shilembo)
-Vitongoji
jumla 24
22.
MHANDE
-Vijiji
(Mhande, Kasamwa, Gulumwa, Sangu, Izizimba “A”,
Izizimba “B” )
-Vitongoji
jumla 32
23.
KIKUBIJI
-Vijiji
(Mwamitinje, Shilima, Mwakilima, Mwabayanda, Mwalubungwe, Kikubiji,
Mwang’hanga)
-Vitongoji
jumla 48
24.
HUNGUMALWA
-Vijiji
(Buyogo, Ng’hungumalwa, Mwang’ombe, Runele)
-Vitongoji
jumla 38
25.
ILULA
-Vijiji
(Kibitilwa, Ilula, Manayi)
-Vitongoji
jumla 26
26.
MWAKILYAMBITI
-Vijiji
(Mwamakoye, Isagenge, Mwakubilinga, Mwakilyambiti, Nyanhiga, )
-Vitongoji
jumla 49
27.
NG’HUNDI
-Vijiji
(Gatuli, Igunguhya, Jojiro)
-Vitongoji
jumla 15
28.
NYAMILAMA
-Vijiji
(Nyamilama, Mwashigi, Bugembe)
-Vitongoji
jumla 24
29.
MWANKULWE
-Vijiji
(Mwankulwe, Luhala, Bugunga, Ikunda)
-Vitongoji
jumla 27
30.
MAMLAKA YA MJI MDOGO WA NGUDU
-Vitongoji jumla 13
KWA KIFUPI:
-KATA ZIPO 30
-VIJIJI VIPO 119
-VITONGOJI VIPO 868
-VITONGOJI VIPO 868
Unaweza kupitia link hiyo chini kwa taarifa zaidi ya takwimu ya mikoa yote.
http://www.pmoralg.go.tz/issues/issuetwo-1010-20140430-Uchaguzi-wa-Serikali-za-Mitaa-mwaka-2014/tangazo-1006-20141016-wilaya.pdf
No comments:
Post a Comment