Sunday, December 7, 2014

MAWAZO YA WAZAWA JUU YA MAENDELEO YA WILAYA YETU


NILIKUWA NAPITA PITA NIKAKUTANA NA HII MTANDAONI,
NAVYOAMINI MWENGE WA UHURU WETU HUU HAUNA FAIDA KIVILE ZAIDI YA KUPOTEZA FEDHA ZA WANANCHI, KITU AMBACHO KINGEWEZA KUZINDULIWA NA WAWAKILISHI WA RAISI NGAZI YA WILAYA, AMBAPO HZO GHARAMA ZA HUO MSAFARA WANGEWEKEZA KWENYE MAENDELEO YA WILAYA YETU
>MIAKA 50 YA UHURU TUNAJIVUNIA LAMI YA KIL 3, WAKATI INGEWEZEKANA KABISA KUUNGA MPAKA HUNGUMALWA, MABUKI NA MAGU PIA
>HUDUMA ZA MAJI SAFI NA SALAMA, JAPO NASIKIA MAJI BADO HAYAJAKIDHI HAJA YA WANA KWIMBA KWA KIASI KIKUBWA KAMA ILIVYOTAKAIWA
>KUANZISHWA KWA TAWI LA CRDB BANKI WILAYAN KUONGEZA COMPETITION KWENYE MZUNGUKO WA FEDHA(MOJA YA SERA ZA MHESHIMIWA MBUGE WETU)
>NA MENGINE MENGI
WANACHOJIVUNIA WANA KWIMBA HASA WANAWAKE WA CHAMA TAWALA NI KUCHINJIWA NG'OMBE NA KUAMBIWA KUJA NA SAHANI YAKO TU PENGINE NDICHO TUJIVUNIE AU WANA SUNGUSUNGU KUSOMBWA NA MAGARI KUJA KUHUDHULIA MIKUTANO JAPO WENGI HUINGIA GHARAMA WAKATI WA KURUDI KIJIJINI KWAO
MAWAZO MAWAZO TU HAYO JAMANI
WEEKEND NJEMA!


No comments:

Post a Comment

Previous Page Next Page Home