Akitangaza matokeo ya
Kidato cha Nne ya mwaka 2014 jijini Dar
es salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dkt Charles Msonde
amesema kati ya waliofaulu, wasichana ni 89,845 sawa na asilimia 66.61 wakati
wavulana ni 106,960.
Akizitaja shule kumi bora kwa ufaulu, Dkt Msonde amesema shule hizo ni;
1. Kaizirege mkoa wa Kagera
2. Mwanza Alliance mkoa wa Mwanza
3. Marian Boys mkoa wa Pwani
4. St. Francis Girls mkoa wa Mbeya
5. Abbey mkoa wa Mtwara
6. Feza Girls mkoa wa Dar es salaam

7. Canossa Mkoa wa Dar es salaam
8. Bethel sabs Girls mkoa wa Iringa
9. Marian Girls mkoa wa Pwani
10. Feza Boys mkoa wa Dar es salaam.
Shule 10 za mwisho ni
1. Manolo mkoa wa Tanga
2. Chokocho mkoa wa Pemba
3. Kwalugulu mkoa wa Tanga
4. Relini mkoa wa Dar es salaam
5. Mashindei mkoa wa Tanga
6. Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma
7. Vudee mkoa wa Kilimanjaro
8. Mnazi mkoa wa Tanga
9. Ruhembe mkoa wa Morogoro
10. Magoma mkoa wa Tanga.

Dkt
Msonde pia ametaja watahiniwa 10 waliofanya vizuri kuwa ni
1. Nyakaho Marungu kutoka Baobab Pwani
2. Elton Sadock Jacob kutoka Feza Boys Dar es salaam
3. Samwel M Adam kutoka Marian Boys Pwani
4.Fainess John Mwakisimba kutoka kutoka St Francis Girls Mbeya
5. Mugisha Reynold Lukambuzi kutoka Bendel Memorial Kilimanjaro
6. Paul W Jijimya kutoka Marian Boys Pwani
7. Angel Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya
8. Atuganile Cairo Jimmy kutoka Canossa
9. Jenifa Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya
10. Mahmoud Dadi Bakili kutoka Feza Boys

Kwa upande wa shule za wilayani Kwimba baadhi za matokeo yao kwa ujumla ni kama ifuatavyo
No comments:
Post a Comment