Tuesday, January 6, 2015

ZIFAHAMU KATA, VIJIJI NA VITONGOJI VYA WILAYA YAKO


MAENEO YA UTAWALA KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) MWAKA 2014
Kwa mujibu wa takwimu zilivyo kwenye tovuti ya ofisi ya waziri mkuu, wilaya ya kwimba ina kata, vijiji na vitongoji kama ifutavyo
1.  NYAMBITI
-vijiji (Nyambiti, kinoja, solwe, ibindo, mwankuba)
-Na vitongoji 33 jumla

 2. MWANDU
-Vijiji (Goloma, Isabilo, Mwandu, Shushi)
Vitongoji jumla 30

3.  MALYA
-Vijiji (Malya, Mwahembo, Talaga, Mwitambu,Kitunga)
-Vitongoji jumla 31

4.  MWAGI
-Vijiji (Ligembe, Kishili, Mwamajila, Mwabilanda)
-Vitongoji jumla 26

5.  NKALALO
-Vijiji (Nkalalo, Manawa, Mwaging’hi,)
-Vitongoji jumla 16


6.  MALIGISU
-Vijiji (Maligisu, Kadashi, Mwabaratulu, Mwabuchuma)
-Vitongoji jumla 38

7.  ISENI
-Vijiji (Bugadago, Ng’wasweng’hele, Nyashana)
-Vitongoji jumla 20

8.  BUGANDO
-Vijiji (Nyamigamba, Icheja, Bugando)
-Vitongoji jumla 16

9.  LYOMA
-Vijiji (Busule, Lyoma, Nkungulu, Kinamweli, Kimiza)
Vitongoji jumla 32

10.  SUMVE
-Vijiji (Sumve, Nyamikoma, Bumyengela, Mwashilalage)
-Vitongoji jumla 27

11.  MWABOMBA
-Vijiji (Mwabomba, Chamva, Mwagika,Ngogo, Mhulula )
-Vitongoji jumla 25

12.  NGULLA
-Vijiji (Ngulla, Nyamatala, Nyambuyi, Mhulya)
-Vitongoji jumla 25

13.  MANTARE
-Vijiji (Ishingisha, Mantare, Mwampulu, Mwanekeyi)
-Vitongoji jumla 25

14. WALLA
-Vijiji (Bujingwa, Isagala, Sumaha, Shilanona)
-Vitongoji jumla 26

15.  BUNGULWA
-Vijiji (Ng’hundya, Isunga, Bungulwa)
-Vitongoji jumla 26

16.  MWANG’HALANGA
-Vijiji (Mahiga, Mwabagole, Shigumhulo, Mwang’halanga)
-Vitongoji jumla 27

17.  IGONGWA
-Vijiji (Manguluma, Mwadubi, Malemve)
-Vitongoji jumla 30

18.  FUKALO
-Vijiji (Sanga, Kawekamo, Ndamhi, Chibuji, Nyang’honge, )
-Vitongoji jumla 42

19.  BUPAMWA
-Vijiji (Chasalawi, Mhalo, Bupamwa. Kiliwi, Dodoma)
-Vitongoji jumla  49

20.  MWAMALA
-Vijiji (Milyungu, Igumangobo, Kijida, Mwalujo)
-Vitongoji jumla 28

21. SHILEMBO
-Vijiji (Shigangama, Ng’huliku, Shilembo)
-Vitongoji jumla 24

22.  MHANDE
-Vijiji (Mhande, Kasamwa, Gulumwa, Sangu, Izizimba “A”,  Izizimba “B” )
-Vitongoji jumla 32

23.  KIKUBIJI
-Vijiji (Mwamitinje, Shilima, Mwakilima, Mwabayanda, Mwalubungwe, Kikubiji, Mwang’hanga)
-Vitongoji jumla  48

24.  HUNGUMALWA
-Vijiji (Buyogo, Ng’hungumalwa, Mwang’ombe, Runele)
-Vitongoji jumla 38

25.  ILULA
-Vijiji (Kibitilwa, Ilula, Manayi)
-Vitongoji jumla 26

26.  MWAKILYAMBITI
-Vijiji (Mwamakoye, Isagenge, Mwakubilinga, Mwakilyambiti, Nyanhiga, )
-Vitongoji jumla 49

27.  NG’HUNDI
-Vijiji (Gatuli, Igunguhya, Jojiro)
-Vitongoji jumla  15

28.  NYAMILAMA
-Vijiji (Nyamilama, Mwashigi, Bugembe)
-Vitongoji jumla 24

29.  MWANKULWE
-Vijiji (Mwankulwe, Luhala, Bugunga, Ikunda)
-Vitongoji jumla 27

 30.  MAMLAKA YA MJI MDOGO WA NGUDU
-Vitongoji jumla 13

KWA KIFUPI:
-KATA ZIPO 30
-VIJIJI VIPO 119
-VITONGOJI VIPO 868


No comments:

Post a Comment

Previous Page Next Page Home