Thursday, July 2, 2015

Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano,wilaya ya KWIMBA 2015/ 2016


OWM-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2015.Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali.

Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana31,700 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.

  
Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 29,744 wakiwemo wasichana 11,450 nawavulana 18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya Sayansina Hisabati; na wanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 nawavulana 13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa kusoma masomoya Sanaa na Biashara.


Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2015 wataanza muhula wa kwanza tarehe 18 Julai, 2015 na hakutakuwa na fursa ya mabadiliko yoyote ya shule. 

  
Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho yakuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.

Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano naVyuo vya Ufundi mwaka 2015 inapatikana kwenye tovuti ya OWMTAMISEMI
ya www.pmoralg.go.tz

Imetolewa na Katibu Mkuu,



Upande wa shule za wilaya ya kwimba orodha ipo kama ifuatavyo;
             
1. BUJIKU SAKILA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 25
Wavulana: 16
Wasichana: 9

2. NGUDU SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 22
Wavulana: 15
Wasichana: 7

3. NYAMILAMA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 22
Wavulana: 18
Wasichana: 4

4. IGONGWA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 9
Wavulana: 7
Wasichana: 2

5. MWAGI SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 5
Wavulana: 4
Wasichana: 1

6. NELLA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 7
Wavulana: 6
Wasichana: 1

7. MWAMASHIMBA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 5
Wavulana: 5
Wasichana: 0

8. MWAMALA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 8
Wavulana: 7
Wasichana: 1

9.  LYOMA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 5
Wavulana: 5
Wasichana: 0

10 KIKUBIJI SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 7
Wavulana: 7
Wasichana: 0

11. MALIGISU SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 11
Wavulana: 9
Wasichana: 2

12. ISENI SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 8
Wavulana: 7
Wasichana: 1

13. BUNGULWA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 3
Wavulana: 3
Wasichana: 0

14. IMALILO SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 9
Wavulana: 8
Wasichana: 1

15. BUPAMWA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 2
Wavulana: 2
Wasichana: 0

16. MWABOMBA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 7
Wavulana: 6
Wasichana: 1

17. MHANDE SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 3
Wavulana: 2
Wasichana: 1

18. MANTARE SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 7
Wavulana: 5
Wasichana: 2

19. NG’HUNDI SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 10
Wavulana: 6
Wasichana: 4

20. NGULA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 7
Wavulana: 6
Wasichana: 1

21. SUMVE SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 10
Wavulana: 6
Wasichana: 4

22. SUMVE GIRLS SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 56
Wavulana: 0
Wasichana: 56

23. TALLO SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 10
Wavulana: 9
Wasichana: 1

24. WALLA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 8
Wavulana: 7
Wasichana: 1

25. MALYA SEC SCHOOL
Waliochaguliwa jumla: 15
Wavulana: 11
Wasichana: 4

26. MWAKLYAMBITI
Waliochaguliwa jumla: 9
Wavulana: 8
Wasichana: 1

27. MWANDU
Waliochaguliwa jumla: 4
Wavulana: 4
Wasichana: 0

**28. MWANG’HALANGA
Hakuna majibu juu ya shule hii yaliyopatikana, pengine walifanyia kituo kingine











1 comment:

  1. Inauma sana,hivi maafisa wa Elimu kata na wilaya wanafurahi tu wakiona hayo matokeo? Yaani ni Sumve Girls tu ambayo wawezasema ni shule. Haiwezekani wanaendelea watu 4 au 5 kati ya shule nzima. Hao wengine wanaenda wapi??? na iweje hata shule za kata mikoa mingine ambazo zingine zimeanzishwa nyuma ya Mwang'halanga ziwe na waliochaguliwa kuanzia 30 paka 40? Afu Mwang'halanga haijasajiliwa ama? mbona ina mda sana na sidhani ka ndo wasema eti yawezakuwa walifanyia kituo kingine. Tunaomba majibu mliopo huko. Wengine tupo mbali na eneo husika.

    ReplyDelete

Previous Page Next Page Home