Tuesday, December 23, 2014

BAADHI YA WASHINDI WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA NA MAENEO YAO


















Katika uchaguzi wa serikali za mtaa zilizofanyika nchini kote tar 14 dec 2014, wilaya yetu ya kwimba baadhi ya maeneo yaliyokuwa yakishikiliwa na CCM yamekuwa ngome mpya ya wapinzani(CHADEMA). Kwenye picha hapo juu ni mwenyekiti mpya wa NGUDU MJINI ndugu casmiry. Baadhi ya maeneo ni kama ifuatavyo


1.NGUDU MJINI-UKAWA(CHADEMA)

2.NGUDULUGULU-UKAWA(CHADEMA)

3.BUDULA- UKAWA(CHADEMA)

4.WELAMASONGA- UKAWA(CHADEMA)

5.KAKORA- UKAWA(CHADEMA)

6.NGUMO- UKAWA(CHADEMA)

7.KIMINZA- UKAWA(CHADEMA)

8.NKUNGURU- UKAWA(CHADEMA)

Pamoja na kufanyika uchaguzi huru na haki kuna baadhi ya maeneo kulijitokeza dosari za hapa na pale kama ucheleweshwaji wa vifaa maalumu kwa ajiri ya zoezi zima la uchaguzi. Kitendo hicho kilipelekea Mkurugenzi wa halmashauri Mh. PENDO MALABEJA kusimamishwa kwa muda kama msimamizi/mtendaji mkuu katika zoezi zima, ikiwa ni hatua iliyochukuliwa na waziri mwenye dhamana ngudu HAWA GHASIA kutengua uteuzi wa wakurugenzi, kuwasimamisha baadhi na wengine kupewa onyo kali.

No comments:

Post a Comment

Previous Page Next Page Home