Sunday, June 26, 2016

IDADI YA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA 5 KWA KILA SHULE ZILIZOPO WILAYA YA KWIMBA.

June 24 2016 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ‘TAMISEMI’ imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali.
Jumla ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi. Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 34,064 wakiwemo wasichana 13,466 na wavulana 20,598 sawa na asilimia 52 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati.
Wanafunzi 30,897 wakiwemo wasichana 15,445 na wavulana 15,452 sawa na asilimia 47 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na Biashara na wanafunzi 759 wakiwemo wasichana 220 na wavulana 539 sawa na asilimia 1 wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya Ufundi.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2016 wataanza muhula wa kwanza July 11 2016 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule.
Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati, endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti July 24 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi

WALIOCHAGULIWA KWA SHULE ZA SEKONDARI, WILAYA YA KWIMBA KUJIUNGA KIDATO CHA 5 MWAKA 2016

BUJIKU SAKILA
·        Waliopata daraja(i-iii)-37
·        Wamechaguliwa wanafunzi 35.
NGUDU 
·        Waliopata daraja(i-iii)-24.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 22.
NYAMILAMA
·        Waliopata daraja(i-iii)-36.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 21.
MWAMASHIMBA
·        Waliopata daraja(i-iii)-32
·        Wamechaguliwa wanafunzi 20.
BULUNGWA
·        Waliopata daraja(i-iii)-3
·        Wamechaguliwa wanafunzi 3.
BUPAMWA
·        Waliopata daraja(i-iii)-8
·        Wamechaguliwa wanafunzi 6.
IGONGWA
·        Waliopata daraja(i-iii)-14
·        Wamechaguliwa wanafunzi 12.
IMALILO
·        Waliopata daraja(i-iii)-7
·        Wamechaguliwa wanafunzi 7.
ISENI
·        Waliopata daraja(i-iii)-20
·        Wamechaguliwa wanafunzi 12.
KIKUBIJI
·        Waliopata daraja(i-iii)-13
·        Wamechaguliwa wanafunzi 7.
LYOMA
·        Waliopata daraja(i-iii)-8
·        Wamechaguliwa wanafunzi 8.
MALIGISU
·        Waliopata daraja(i-iii)-23.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 16.
MALYA
·        Waliopata daraja(i-iii)-15
·        Wamechaguliwa wanafunzi 3.
MANTARE
·        Waliopata daraja(i-iii)-4
·        Wamechaguliwa wanafunzi 3.
MHANDE
·        Waliopata daraja(i-iii)-10.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 6.
MWABOMBA
·        Waliopata daraja(i-iii)-13.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 9.
MWAGI
·        Waliopata daraja(i-iii)-5.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 4.
MWAKILYAMBITI
·        Waliopata daraja(i-iii)- 6.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 2.
MWAMALA
·        Waliopata daraja(i-iii)- 9.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 6.
MWANDU
·        Waliopata daraja(i-iii)- 4
·        Wamechaguliwa wanafunzi 2.
MWANG’HALANGA
·        Waliopata daraja(i-iii)-9
·        Wamechaguliwa wanafunzi 6.
MWANKULE
·        Waliopata daraja(i-iii)-8.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 5.
NELA
·        Waliopata daraja(i-iii)-20.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 14.
NG’HUNDI
·        Waliopata daraja(i-iii)- 8.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 7.
NGULA
·        Waliopata daraja(i-iii)- 7.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 4.
SUMVE GIRLS
·        Waliopata daraja(i-iii)-49.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 36.
SUMVE
·        Waliopata daraja(i-iii)-26
·        Wamechaguliwa wanafunzi 16.
TALLO
·        Waliopata daraja(i-iii)-1
·        Wamechaguliwa Mwanafunzi mmoja(1).
WALLA
·        Waliopata daraja(i-iii)-19.
·        Wamechaguliwa wanafunzi 10.
Kama haukuipitia tathmin ya matokeo ya kidato cha nne 2015 kwa shule zilizopo wilaya ya KWIMBA, unaweza isoma HAPA




No comments:

Post a Comment

Previous Page Next Page Home